dayoo siyataki mpenzi
dayoo we namba moja
mpenzi wangu rafiki tulie soma pamoja
dayoo sio bule umelogwa
mpenzi wangu nishike nisije nika paa
mpenzi wangu ukingusa nina paa