wengine wanajiuliza kwa mungu tumefata nini
wengine wanapanda milima wengine wanashuka
wengine wanadamu mbaya
wengine majaliwa loli aaa basi cheza kidogo yele yele audio
unaempenda kampenda mwingine uyo mwingine nae anamwingine
wengine wakubwa kuliko mimi ila hawajiamini
wengine wanataja magari
wengine tuna damu mbaya mtu uja mkosea anataman ufe
wengine wana damu mbaya wanatamani ufe mtu nyimbo nzima
wengine wanataja mafarasi
wengine tuna dam mbaya mabifu kama yote
wengine tuna dam mbaya mabifu kamayote
wengine wana dam mbaya bifu kamayote